The House of Favourite Newspapers

JPM Awaarika Wastaafu Ikulu, Wamo Mkapa, Lowassa na Sumaye – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli amewaalika viongozi wakuu wastaafu wote. Kufanya nao mazungumzo leo Jumanne, Julai 03, 2018 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Viongozi walioarikwa ni Marais, Mhe. Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu, Maspika na Majaji Wakuu.

Hii ni mara ya kwanza kwa viongozi hao kukutana na Rais Ikulu.

 

Comments are closed.