The House of Favourite Newspapers

JPM Awasilisha Fomu Zake za Rasilimali na Madeni ya Viongozi – Video

Rais Magufuli akiwasilisha fomu zake za rasilimali na madeni kwa Jaji Nseleka.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma kwa Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela Makao makuu ya ofisi hizo Mtaa wa Ohio, Dar es Salaam.

Akikabidhi fomu hizo.

Rais Magufuli ameagiza viongozi watakaochelewesha fomu zao zisipokelewe ili sheria ichukue mkondo wake.

 

JPM akiwasili kwenye ofisi hizo.


Comments are closed.