The House of Favourite Newspapers

JPM Azungumza Na Wananchi Wa Kisongo Na Makuyuni Arusha – Video

0
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisongo na Makuyuni mkoani Arusha akiwa njiani kuelekea Karatu kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM leo Jumamosi Oktoba 24, 2020.
Baadhi ya wagombea na viongozi wa CCM akipunga mikono wakati Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa makuyuni wilaya ya Monduli mkoani Arusha

MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kisongo na Makuyuni mkoani Arusha akiwa njiani kuelekea Karatu kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za CCM leo Jumamosi Oktoba 24, 2020.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliojitokeza kumlaki Rais Dk. John Pombe Magufuli katika maeneo ya Kisongo na Makuyuni wakati akiwa njiani kuelekea Karatu.

Leave A Reply