The House of Favourite Newspapers

JPM, Mkewe Washuhudia Kusimikwa Askofu Mkuu Arusha (Video)

RAIS John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wamehudhuria kusimikwa kwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Katoliki la Arusha, Isaac Amani, katika parokia ya Mtakatifu Theresa wa Mtoto Yesu jijini Arusha.

Misa hiyo pia imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wa kanisa hilo.

Rais Magufuli akimpongeza Askofu Mteule, Isaac Amani, kabla ya kuanza kwa misa ya kumsimika. Nyuma yake ni Mama Janeth Magufuli.
Wakikumbatiana.
Rais Magufuli na mkewe wakiwasalimia maaskofu wa majimbo mengine.
Rais Magufuli akiwasalimia viongozi mbalimbali wa kanisa.
Mama Janeth akimsalimia Askofu Isaac Amani.
Rais Magufuli akiwasalimia waumini waliohudhuria misa hiyo.

 

Comments are closed.