The House of Favourite Newspapers

Justin Bieber Amshukuru Wizkid kwa Kumpa Kolabo

0

 

Staa wa muziki Ulimwenguni @justinbieber amemshukuru @wizkidayo kwa kumpa nafasi ya kushirikiana nae kwenye wimbo wake wa #Essence Remix ambao unatarajiwa kutoka siku ya leo.

 

Justine Bieber ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akiambatanisha na cover ya wimbo huo. Bieber ameandika
“Asante kwa kuniruhusu kushiriki kwenye wimbo wako wa majira ya joto. Essence Remix unatoka usiku wa leo”

Leave A Reply