The House of Favourite Newspapers

Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CUF Akamatwa Zanzibar

0

Kaimu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa CUF, Hamad Masoud amekamatwa na Polisi Visiwani Zanzibar leo asubuhi. Chanzo cha kukamatwa kwake bado hakijafahamika, endelea kufuatilia habari zetu kwa taarifa zaidi.

Leave A Reply