The House of Favourite Newspapers

Red Carpet Event na Mama Wa Mitindo‏ Yafana Seattle USA

0

wanamitindo (1) wanamitindo (2) wanamitindo (3) wanamitindo (4) wanamitindo (5) wanamitindo (6) wanamitindo (7) wanamitindo (8) wanamitindo (9) wanamitindo (10) wanamitindo (11) wanamitindo (12) wanamitindo (13) wanamitindo (14) wanamitindo (15) wanamitindo (16) wanamitindo (17) wanamitindo (18) wanamitindo (19) wanamitindo (20) wanamitindo (21) wanamitindo (22) wanamitindo (23) wanamitindo (24) wanamitindo (25) wanamitindo (26) wanamitindo (27) wanamitindo (28) wanamitindo (29) wanamitindo (30) wanamitindo (31) wanamitindo (32) wanamitindo (33) wanamitindo (34) wanamitindo (35)

Mmoja kati ya wanamitindo ambao 2016 waliianza kwa kishindo ni pamoja na Mama wa mitindo ambaye kwa sasa anawakilisha vilivyo huko USA amefanya vizuri kwenye jukwaa la Red Carpet Event Seattle nchini humo.
Tukio hilo limefanyika Jumamosi iliyopita, ambapo Asya Idarous Khamsin alitumbuiza kwa kucheza muziki mnono na kuonesha mitindo aliyokuwa ameandaa siku hiyo.
Hizo hapo juu ni baadhi ya picha za matukio wakti wa shughuli hiyo. Hongera kwa Asya coz anaendelea kukuza Tasnia ya Mitindo kwa kuiwakilisha nchi ya Tanzania.
Leave A Reply