The House of Favourite Newspapers

KALI KULIKO- Jipe Punguzo, Nunua Infinix Note 10, Hot 10, Hot 10Play au Hot 101

0

 

Baadhi ya matukio yanayoendelea katika kipindi hiki cha kali kuliko. Niliandika awali kuhusu promosheni ya Infinix KALI KULIKO na sasa tupo katika wiki ya pili ya promosheni hii itakayochukua mwezi mzima. Infinix kupitia @infinixmobiletz imewataka wateja wa simu za Infinix wote kufika Kariakoo Infinix Building mtaa wa Kongo kesho mapema. Zawadi nyingi na discount kubwa ya bei kutolewa siku ya kesho kwa kila mteja wa simu ya Infinix NOTE 10, HOT 10 PLAY, HOT 10T na HOT 10i.

 

Baadhi ya zawadi ambazo Infinix imeandaa kwajili ya wateja wa Infinix ni pamoja na TV ya inch 55, Laptop na PS5 lakini pia kuna zawadi kama ticket za movie, shopping voucher na zawadi ya rice cooker, microwaves, toaster hizi zinatoka kwa kuzungusha gurudumu la Bahati nasibu.

 

Kuhusu punguzo la bei Infinix inampa uwaja kila mteja wa kuchagua ni punguzo la kiasi gani kwa kuokota sarafu kutoka kwenye box maalumu.

 

Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro, HOT 10t, HOT 10i na HOT 10 play ni miongoni mwa simu kali za mwaka huu wa 2021. Toleo la Infinix HOT ni toleo lenye simu za bei rafiki unachokipata kwenye simu hizi za Infinix HOT ni zaidi ya kiasi unacholipia. Infinix HOT ni simu zenye uwezo mkubwa wa kudumu na chaji kwa muda mrefu simu hizi zinakuja na battery ya mAh6000 lakini pia ni simu zenye uwezo wakupiga picha wakati wowote hata kwenye kiza kinene na kwenye jua kali. https://www.infinixmobility.com/

Leave A Reply