The House of Favourite Newspapers

Kama Jana Hujapiga Pesa, Basi Leo ni Zamu Yako

0

 

Baada ya jana kushuhudia mechi za ligi ya mabingwa Ulaya, leo hii tutashuhudia mtanange wa mechi za EUROPA ambapo leo ndiyo siku ya kuamua hatma ya timu zinazoenda nusu fainali na zinazobaki.

Timu kutoka Ufaransa Olympique Marseille atamenyana dhidi ya SL Benfica kutoka Ureno ambaye alishinda mechi ya kwanza. Marseille anataka kulipa kisasi na kushinda leo kwa ODDS ya 2.35 kwa 2.84. Wewe nani unaona atakupa pesa?. Suka jamvi lako sasa.

Huku AS Roma yeye ataumana dhidi ya AC Milan ambayo ipo chini ya kocha mkuu Stephano Pioli. AS Roma ambao wametoka kumuongezea mkataba kocha wao walishinda mechi ya kwanza walipokutana kule San Siro. Je leo hii Milan wanaweza nao shind awkaiwa ugenini? Meridianbet wamempa Pioli na vijana wake nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.28 kwa 2.99. Tengeneza jamvi lako hapa.

Liverpool ambao wao watasafiri hadi Italia kulipa kisasi dhidi ya Atalanta ambao mechi ya kwanza waliwafunga wakiwa Anfield. Mechi hiyo itapigwa majira ya saa 4:00 usiku meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi Klopp na vijana wake kwa ODDS 1.57 kwa 4.90. Je Gasperin anaweza kubali kupigika nyumbani huku akiwa na uongozi wa mabao 3-0?. Beti mechi hii.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Mechi nyingine itakuwa katika dimba la London ambapo mwenyeji West Ham United chini ya David Moyes atamleta nyumbani kwake Bayer Leverkusen ambaye ndiye bingwa wa Bundesliga ambalo alilichukua wiki iliyopita. Mechi ya kwanza Alonso alishinda akiwa kwake. Je leo hii atasonga hatua ya nusu fainali? Mechi hii imepewa ODDS 4.90 kwa Wagonga Nyundo na 1.83 kwa mgeni. Jisajili hapa.

Leave A Reply