The House of Favourite Newspapers

Kamati ya Kudumu ya Bunge Miundombinu Yatembelea Ujenzi Uwanja wa Ndege wa Tabora

0

Kwa niaba ya Mhe Waziri Wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa nimeshiriki katika ziara ya kamati ya kudumu ya Bunge ya miundombinu inayoongozwa na Mwenyekiti wake Mhe Selemani Kakoso ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo Kwa kutembelea na kukagua ukarabati na maboresho ya Uwanja wa Ndege wa Tabora unaohusisha ujenzi wa jengo la abiria litakalokuwa na uwezo wa kuhudumua abiria 120 Kwa mara Moja litakapokamilika.

Ofisi za Idara mbalimbali,sehemu za biashara,Mnara wa kuongozea Ndege, Barabara za maingiliano,mifereji ya maji, maegesho ya magari 54 Kwa mara Moja, na uzio wenye urefu wa km 6.25, iliyofanyika Tarehe 13 March, 2024 Mkoani Tabora.

Leave A Reply