The House of Favourite Newspapers

Atletico Madrid Dhidi Ya Inter Milan Moto Utawaka Leo UEFA

0

Mchezo kati ya Atletico de Madrid ambao watakua wenyeji dhidi ya Inter Milan utakua mchezo mkali sana katika usiku wa ulaya leo kuelekea ambao utakua wa kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.

Mchezo huu ni mchezo ambao utatupiwa macho zaidi kwenye hatua ya hii ya 16 bora kwenye mzunguko wa pili, Kwani ndio mchezo mkali zaidi na wenye ushindani zaidi katika michezo ambayo itapigwa leo.

Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo ulipigwa pale katika dimba la Giussepe Meazza awiki mbili zilizopita, Huku Inter wakichomoza na ushindi wa goli moja kwa sifuru hivo leo Atletico watahitaji kupata ushindi wa kuanzia mabao mawili kwa bila ili waweze kusonga mbele.

Mchezo huu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kwani vilabu vyote vina uwezo wa kusonga mbele katika hatua inayofuata, Lakini pia aina ya uchezaji wa vilabu hivo inafanana pia hii inachangia mchezo kua mgumu zaidi baina ya vilabu hivo.

Vita nyingine kwenye mchezo huu itakua ni vita ya kimbinu baina ya makocha wawili wa vilabu hivo kocha Diego Simeone wa Atletico Madrid na Simeone Inzaghi wa Inter Milan,Makocha hao wanatumia wote watumia  mfumo wa 3-5-2 kwenye kupangilia timu zao jambo ambalo linafanya mchezo huu kua mgumu zaidi. Mchezo huu mkali upo pale kwenye tovuti ya Meridianbet na umepewa ODDS KUBWA.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Ulaya  Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Mchezo mwingine mkali wa ligi ya mabingwa ulaya utakaopigwa leo utakua kati ya Borussia Dortmund ambao watakua nyumbani pale Signal Iduna Park dhidi ya PSV Eindhoven, Mchezo huu pia upo wazi kwa yeyote kufuzu hatua ya robo fainali kwani mchezo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya goli moja kwa moja.

Leave A Reply