The House of Favourite Newspapers

Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini Kuwasilisha Ripoti Yake kwa JPM Jumatatu

0

IKULU: Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini(Wachumi na Wanasheria) itawasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Siku ya Jumatatu Juni 12,2017 kuanzia saa 3:30 Asubuhi.

Awali, Rais Magufuli alipokea Ripoti ya Kamati ya Kwanza (Wataalamu wa Jiolojia) ambayo ilibaini ulaghai kuhusu kiwango cha madini kilichomo katika makontena yenye mchanga na kusababisha Bodi ya TMAA kuvunjwa sambamba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo kujiuzulu.

Leave A Reply