The House of Favourite Newspapers

Kampuni ya GNM Yatangaza Bonge la Ofa Kusafirisha Mizigo Kutoka China!

PENGINE wewe ni mfanyabiashara unayeagiza mizigo kutoka nje na huwa unajiuliza unawezaje kusafirisha mizigo yako kwa urahisi kutoka nchini China kuja Tanzania?

Habari njema ni kwamba Kampuni ya GNM Cargo yenye uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi ya kusafirisha mizigo, inakutangazia bonge la ofa kusafirisha mizigo kutoka China kuja Tanzania na nchi za Afrika Mashariki.

 

GNM Cargo inakupa punguzo kubwa la bei ambapo kwa belo (bale) kubwa la nguo la CBM 1, boksi kubwa la nguo au spea za magari kutoka China mpaka Dar es Salaam utalipia Dola za Kimarekani 400 (sawa na takriban shilingi laki tisa na elfu ishirini).

 

Kwa vifurushi vya mikoba, viatu na vifaa vya nguo utalipia Dola za Kimarekani 350 ambazo ni sawa na shilingi laki nane ambapo kwa spea za pikipiki utalipia dola 300 ambazo ni sawa na shilingi laki sita na elfu tisini.

Hivi ni viwango nafuu mno ukilinganisha na kampuni nyingine zinazosafirisha mizigo ya aina hiyo kutoka China na uzuri ni kwamba ukisafirisha mizigo yako na GNM Cargo, pia utapata huduma ya ‘clearing and fowarding’ bandarini kwa bei nafuu kabisa! Kazi yako itakuwa ni kwenda kuchukua mzigo wako tu!

 

Mbali na huduma za kusafirisha mizigo na kufanya clearing and fowarding, Kampuni ya GNM Cargo pia inatoa huduma ya kukusafirisha wewe mfanyabiashara kwenda mpaka nchini China kwa urahisi na gharama nafuu kabisa!

 

Unachotakiwa kufanya ni kufika kwenye ofisi za GNM Cargo zilizopo Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Msimbazi, Mkabala na Benki ya Azania na Jengo la Simba Sport Club, ghorofa ya tatu au unaweza kuwapigia simu kwa namba 0677 066 551 au 0677 066 555.

Ukiwasiliana nao, utapata utaratibu mzima wa jinsi kampuni hiyo inavyofanya kazi kwa kumsaidia mfanyabiashara kwanza kwa maandalizi ya awali ya safari kutoka Tanzania kwenda nchini China.

Hata kama hujawahi kufika China na huna mwenyeji, huna haja ya kuwa na hofu, GNM watakusimamia kwa kila kitu. Watakusaidia kukutumia barua ya mwaliko (invitation letter) kutoka China ambayo utaitumia kwenye mchakato wa kuandaa safari, ikiwa ni pamoja na kupata Visa ya kuingia nchini humo.

 

Kama hiyo haitoshi, mara baada ya kuwasili nchini China tu, utapokelewa na wenyeji wako kuanzia uwanja wa ndege na watakupeleka hadi kwenye hoteli utakayofikia bure kabisa!

Baada ya kufika hotelini na kupumzika, GNM watakuelekeza masoko mbalimbali yaliyopo nchini China kulingana na mahitaji unayohitaji, kama unataka masoko ya nguo, utapelekwa kwenye masoko kama Yulong, Wantong, Canan, Liuhua, Shahe au Huimei kulingana na mahitaji yako.

 

Kama unahitaji masoko ya saa na urembo, utapelekwa kwenye masoko ya Zhanxi, Meibo au Xijiao na kama unahitaji masoko ya viatu, utapelekwa International Shoes Market Centre, Daxin Lu au Jiulong.

 

Pia utapelekwa kwenye masoko ya bidhaa mbalimbali kama vifaa vya simu, vitambaa na mapazia, marumaru, handbags na samani za ndani za kila aina.

Utapewa mtu wa kuongozana naye ambaye atakusimamia katika manunuzi yako yote na kukuelewesha mitaa yote ya kupita na kukurudisha hotelini.

 

Baada ya kuwa umeshanunua mzigo unaoutaka, GNM pia watakusaidia kuufungasha vizuri mzigo wako, kuanzia ‘parcels’ ndogondogo kama mabelo ya nguo na viatu, mpaka parcels kubwa zinazohusisha makontena.

 

Baada ya hapo, utatakiwa kulipia gharama za kusafirisha mzigo kuja Tanzania kisha wao watakusaidia huduma zote za kuandaa nyaraka za kusafirishia mizigo mpaka za kuja kutolea mzigo wako bandarini!

 

Uzuri ni kwamba gharama zao ni nafuu sana na usalama wa fedha na mizigo yako ni kwa asilimia 100! Kama wewe ni mfanyabiashara na kwa kipindi kirefu ulikuwa ukiogopa kusafiri kwenda China, GNM wanakuhakikishia usalama wako na mali zako kwa bei nafuu kabisa!

 

Kwa mawasiliano zaidi nchini China, unaweza kuwasiliana na ofisi zao zilizopo Guangzhou kwa simu namba +86 138 297 21527 au +86 297 21572. Unaweza pia kutembelea website yao kwa kubofya www.gnmtrading.com au watumie barua pepe kwa anuani ya [email protected] au [email protected]

 

Comments are closed.