The House of Favourite Newspapers

Kedi Group Kuuza Viwanja Kwa Bei Nafuu Msimu wa Sabasaba

Mtangazaji wa Global TV Oniline, Catherine Kahabi (kulia) akizungumza na mmoja wa wafanyakazi wa  kampuni ya Kedi Group waliopo Sabasaba jijini Dar es Salam.
Wakiwa katika picha ya pamoja na Catheine Kahabi.
Wakiwa katika picha ya pamoja.

 

KATIKA Kuhakikisha Watanzania wote wanamiliki ardhi na wananufaika katika msimu huu wa maonyesho ya 42 ya kimataifa ya biashara, yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam yajulikanayo kama  Sabasaba, Kampuni ya Kedi Group ambayo inajishughulisha na uuzaji wa viwanja imeweka kambi katika viwanja hivyo  kwa ajili ya kuuza viwanja kwa bei nafuu huku ikiwa imetoa ofa ya kulipa kwa mwaka mzima.

 

Maonyesho ya Sabasaba yanaendelea katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam ambapo kesho Julai 04, 2018 yanatarajiwa kuzinduliwa rasmi na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

 

Kwa taarifa kamili za kuhusiana na namna ya kumiliki kiwanja fatilia hapa chini.

 

 

Makulunge Kilomita 3 kutoka barabara ya Bagamoyo-msata bei ni shilingi 4,000/- kwa mita mraba
Kidamole Kilomita 2 kutoka barabara ya Bagamoyo-Msata bei ni 3,500 kwa mita mraba Visiga-Kibaha mita 200 kutoka Morogoro road (barabara ya kwenda morogoro) bei ni Tsh. 10000 kwa mita mraba bei ni 5000Tshs.

 

 

Kwa mita mraba pia discount kwa viwanja vya mita mraba 400 kwa bei ya shilingi milioni moja na nusu tu 1,500,000/=

 

Tuangoma-Mkokozi Kigamboni umbali kilomita 14 kutoka feri na kilomita 1 kutoka FUN CITY bei ni 13,000 kwa mita mraba Kisarawe II-Kigamboni umbali ni kilomita 13 kutoka daraja la Mwl. Nyerere bei ni Tshs. 15,000 kwa mita mraba Kibugomo-Kigamboni umbali ni kilomita 9 kutoka feri na mita 200 kutoka barabara kuu ya lami bei ni 23,000 Tshs. kwa mita mraba.

 

Mbutu A-kigamboni (beach plot) umbali ni Kilomita 35 kutoka feri na kilomita 6-8 kutoka majengo ya dege (dege eco-village) na mita 60 kutoka baharini bei ni 29,000 Tshs kwa mita mraba Mbutu A-Kigamboni umbali ni kilomita 35 kutoka feri na mita 300 kutoka baharini bei ni 13,000 Tshs. kwa mita mraba.

 

 


Albert Kavishe
Property Developer
Kedi Group
5777 Oysterbay, Dar es salaam
www.kedigroup.co.tz/[email protected]

 

 

Comments are closed.