The House of Favourite Newspapers

Kaseja Afunguka Kuinyaka Penalti ya Okwi – Video

Goli kipa wa Kagera Sugar amesema kudaka penalti yeye kwake sio suala geni ni kawaida sio amedaka penalti ya Okwi kwasbabu anajua au Hamjui. Kaseja ambaye ni golikipa alipangwa katika mechi ya leo ya Kagera Sugar Vs Simba ambapo Kagera imeharibu rekodi za Simba baada ya kumfunga bao 1-0.

Comments are closed.