Rais Samia Aagiza Aliyeokoa Watu 26 Aingizwe Jeshini
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amempigia simu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na kuagiza kuwa kijana aliyesaidia kuokoa watu waliokuwa wamekwama ndani ya ndege baada ya kutokea ajali ya Precision Air, aingizwe…
