The House of Favourite Newspapers

Kassim Majaliwa alipotua Mwanza jana

0

IMGS6031

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza , Magesa Mulongo baada ya kuwasili kwenye uwanja  wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016.

IMGS6039
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo baada ya kuwasili  kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016.
IMGS6070
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mwanza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1,2016.
IMGS6076
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo  ya Makazi, Angelina Mabulla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016.
IMGS6089
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimu wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo.
IMGS6103
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitazama ngoma  ya nyoka baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Magessa Mulongo.
IMGS6115Wanakwa wa Makongoro Vijana wakiimba wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Leave A Reply