The House of Favourite Newspapers

Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi Atembelea Shina Namba 5, Tawi la Paradise, Majengo-Mpanda

0

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa ameongozana na Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Amos Makalla pamoja na Katibu wa NEC – Oganaizesheni Ndugu. Issa Gavu kwa pamoja wamefika katika shina namba 5 la paradise katika kata ya majengo wilaya ya mpanda mkoani Katavi.
Wakiwa hapo, Katibu Mkuu Nchimbi ametoa salamu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Aidha, Wametoa wito juu ya uhamasishaji wa uongezaji wa Wanachama katika kila shina kwakuwa idadi ya namba kubwa ya wananchama ndiyo yenye kupelekea idadi ya namba kubwa za kura za ushindi kwa CCM.
Leave A Reply