The House of Favourite Newspapers

Kauli 10 za JPM Zilizosisimua Tangu Aingie Madarakani – Video

NI takribani miaka minne tangu Rais  John Magufuli aingine madarakani katika awamu ya tano kuiongoza Tanzania.

 

Msingi na mwongozo bora wa awamu hii yenye kauli mbiu HAPA KAZI TU….. ni uthibitisho wa kauli ya rais huyo kupitia hotuba yake ya kwanza ndani ya Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Maneno haya yanadhihirisha dhamira ya dhati kuyatekeleza yote aliyowaahidi Watanzania kupitia  kampeni zake.

 

Mara zote amekuwa akitembea juu ya maneno anayozungumza katika hotuba zake mbalimbali.

 

Comments are closed.