The House of Favourite Newspapers

KAYUMBA – “Nina Uhusiano na UWOYA / Napenda MAPENZI” – VIDEO

HIT MAKER wa ngoma ya Mazoea, Maumivu, Tuongee na nyingine Nyingi, Kayumba Juma, ambaye jina lake lilinga’ra kwa mara ya kwanza kupitia shindano la BSS, Amepiga stori na Global TV na kufungukia uhusiano wake na Muigizaji, Irene Uwoya.

Kayumba amesema ni kweli ana uhusiano na Uwoya lakini sio wa kimapenzi hivyo tetesi hizo si za kweli.

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.