The House of Favourite Newspapers

Kazi Kwenu: Vitu Vinauzwa Bei Chee, Yani Sawa na Bure

0

SEPCO BEDT COLLECTION AND AUCTIONEERING CO. LTD kwa wa idhini tuliyopewa na mteja wetu tutauza vitu mbalimbali kwa mnada wa hadhara kwa siku tatu mfululizo kuanzia Alhamisi, Juni 17, Juni 18 na Juni 19 mwaka huu 2021 kuanzia saa 4:00 asubuhi.

 

Vitu vitakavyouzwa katika mnada huo ni pamoja na; • Tochi na betri aina zote za brand ya Eveready. • Betri zote za brand ya Energize, aina zote product ya ORS. • Vatika • Sanitizer za ujazo mbalimbali. • Aina mbalimbali za product ya Calypso. • Daipa brand ya PANDA • Fine care • Cuddlers comfort • Aina zote za Silkia • Product ya long & lasting aina zote • Miswaki ya saizi zote • Aina zote za dimples • Aina zote za shampoo • Products zote zenye brand ya dhahabu ya Kigoma. • Solar bettery kuanzia AH 9 mpaka AH 150 brand ya rocket • Aina zote za switch na sockets brand ya MK • Aina zote za IT solutions kama excel • Battery cabinet • Aina zote za instalation rack • Pipi na biscuit brand ya Deemah.

 

Mnada na Ukaguzi wa vitu hivyo utafanyika katika godown lilopo eneo la CALICO COMPLEX jirani na D T DOBIE, Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam kila siku kuanzia Jumatatu ya tarehe 14/06/2021 muda wa saa za kazi kuanzi 3:00 asubuhi – saa 10:00 jioni.

 

MASHARITI YA MNADA 1. Mnunuzi atakayebahatika kununua bidhaa husika atalazimika kulipa asilimia 25 hapohapo na salio la asilimia 75 atalazimika kulipa ndani ya siku saba (7), kuanzia tarehe ya mnada. Akishindwa kulipa salio lililobaki.

 

Mnada utarudiwa na fedha iliyolipwa awali haitarudishwa. 2. Mnunuzi atalazimika kuondosha bidhaa aliyonunua mara baada ya kukamilisha kulipa malipo yote Taslimu. 3. Bidhaa itauzwa kama ilivyo na ikisha nunuliwa hairudishwi. 4. Kwa yeyote atakayeharibu mnada huu hatua kali za kisheria zitachukuliwa.

 

Kwa Mawasiliano Zaidi Fika Katika Ofisi Zetu Zilizopo Jijini Dar Es Salaam Rita Tower Ghorofa Ya 11 Au Piga Na.0715 683 777, 0716 535 221, 0717 593 890.

 

Leave A Reply