The House of Favourite Newspapers

Khadija Majanga Amwaga Machozi Akisimulia Mwanaye Alivyofia Swimming – Video

0

Msanii wa Bongo Muvi, Khadija Majanga amefunguka kwa uchungu jinsi alivyompoteza mtoto wake wa kike, ambaye alifariki kwenye bwawa la kuogolea (Swimming Pool) maeneo ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Global Tv Khadija alisema kuwa anatamani jina la Majanga, alibadilishe kwani limemletea madhara makubwa sana kwao hata mtoto wa pili aliyemzaa hasikii kabisa.

Leave A Reply