Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla akielezea machache juu ya ujio wake katika hospitali hiyo.
Kigwangalla akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa Kitengo cha Macho katika Hospitali hiyo ya Hydom.
…Akipata maelezo juu ya kitengo maalum cha ufundi wa vifaa tiba.
…Akipata picha ya pamoja na mtaalam wa masuala ya ufundi wa vifaa tiba vya kitaalam.
…Akiangalia chumba cha CT-SCAN.
Mashine ya kisasa ya CT-SCAN iliyopo katika hospitali hiyo ya Hydom.
…Akitembezwa katika moja ya wodi za hospitali hiyo.
…Akiwasili katika Chuo cha Uuguzi cha Hydom kinachomilikiwa na Hospitali hiyo ya ya Hydom.
…Akiwa katika Chuo cha Uuguzi.
…Akisikiliza kwa risala fupi kutoka kwa msimamizi wa chuo hicho.
…Akitoa maelezo kadhaa kwa uongozi wa Hospitaali hiyo baada ya kumaliza kuitembelea.
Wanafunzi wakifuatilia mkutano huo.
Mmoja wa wafanyakazi wa hospitali hiyo akiuliza swali.
Kigwangalla akijibu baadhi ya maswali wakati wa mkutano huo.
Moja ya muonekano wa jengo la hospitali hiyo.
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Watoto na Wazee, Dkt. Khamisi Andrea Kigwangalla, ametembelea Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyopo Wilayani Mbulu Mkoani, Manyara na kushuhudia namna ya utendaji kazi unaofanywa hospitalini hapo.
Kigwangalla alijionea shughuli zinazofanywa katika sekta ya afya na wadau mbalimbali ikiwemo hospitali hiyo ambayo inahudumia eneo kubwa la ukanda huo ikiwemo mikoa ya Singida, Tabora, Manyara yenyewe na maeneo mengine ya karibu.
(Picha zote na Andrew Chale,Modewjibl)
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Next Post