The House of Favourite Newspapers

Kikosi cha Yanga dhidi ya Mbao FC leo

0
Wachezaji wa Yanga wakipasha. 

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, Young Africans wanashuka dimbani leo kuwavaa Mbao FC katika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara (FA) katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Uongozi wa klabu hiyo umetangaza kikosi chake kitakachowavaa Mbao FC leo hii, mchezo utakaoanza saa kumi jioni.

Yanga watatumia mfumo wa 4:4:2 katika kikosi hiki:

1. Deogratius Munishi
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Vicent Andrew
5. Kelvin Yondani
6. Juma Saidi
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Obrey Chirwa
10. Amisi Tambwe
11. Haruna Niyonzima

Wachezaji wa akiba:
Beno Kakolanya, Oscar Joshua, Juma Abdul, Juma Mahadhi, Emanuel Martin, Geofrey mwashuiya,cDeusi Kaseke.

Leave A Reply