The House of Favourite Newspapers

Kikosi Yanga Kitakachocheza Dhidi ya Mbeya City Leo

0

Kikosi Yanga Kitakachocheza Dhidi ya Mbeya City leo Jumamosi, Februari 5, 2022 katika Mchezo wa Mzunguko wa 14 wa Ligi Kuu Tanzania Bara katika Dimba la Mkapa.

Ikumbukwe kuwa, Yanga wanaongoza Ligi hiyo wakiwa wamekusanya jumla ya pointi 35, bila kupoteza mchezo hata mmoja, huku Mbeya City wakiwa nafasi ya 12 na pointi 13.

Mbeya City kwa sasa inaogopeka hasa kwa vigogo wa Ligi ikizingatiwa kwamba ndio imekuwa Timu ya Kwanza kuwafunga mabingwa watetetzi wa Ligi Kuu Bara, Simba Sc.

Leave A Reply