The House of Favourite Newspapers

Kim Kardashian Apiga za Utupu Tena!

0
Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashian, Kim Kardashian akiwa katika pozi.
Akifanya yake.

LICHA ya kugonga miaka 36 huku akiwa na watoto wawili, North na Saint, mwanamitindo ambaye pia ni Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashian, Kim Kardashian amepiga tena picha za utupu maalum kwa ajili ya kutangaza bidhaa zake za urembo.

 

Inaelezwa kuwa, Kim ambaye anasubiri kupata mtoto wa tatu na rapa Kanye West, ameingia ‘photoshoot’ na kuibuka na picha hizo zinazomuonesha akiwa ameziba eneo la kifua tu.

 

Mtangazaji huyo, kwa sasa anamiliki lebo ya vipodozi inayofahamika kama KKW (Kim Kardashian West).

Awali, Kim aliwahi ‘kubreak internet’ kwa kutupia picha akiwa mtupu.

 

(HABARI: ANDREW CARLOS | GLOBAL PUBLISHERS)

Leave A Reply