The House of Favourite Newspapers

Kimekuka! Mbunge Kuwaita Wenzake ‘Mbwa’, Spika Aingilia Kati – Video

BUNGENI, DODOMA: Spika Job Ndugai leo Juni 05, amelazimika kumpokonya Najma Giga kijiti cha kuongoza kikao cha Bunge baada ya mzozo ulisababishwa na Mbunge wa Jang’ombe, Ali Omar (CCM) aliyewafananisha wapinzani na ‘mbwa’.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.