The House of Favourite Newspapers

Kinana Azungumza na Viongozi, Wanachama wa CCM Dar es Salaam

0

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana amezungumza na wanachama pamoja na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam juu ya masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea nchini ikiwemo hoja juu ya maridhiano ya Vyama vya siasa na Miswada ya Sheria za uchaguzi iliyopitishwa Bungeni hivi karibuni.

Mazungumzo hayo yamefanyika Leo tarehe 04/02/2024 katika ukumbi Diamond Jubilee Jijini Dar es salaam.

Leave A Reply