The House of Favourite Newspapers

Kinyang`anyiro cha Wikienda Music Search (WMS) Kufanyika Leo Studio za Wanene

Muonekano wa moja ya Studio ya Wanene

SHINDANO lililoandaliwa na Gazeti la Ijumaa Wikienda, Wikienda Music Search (MWS) linatarajia kufanyika leo kwenye Studio za Wanene Entertainment chini ya Maproduzya 6 akiwemo Shente Murozy wa Black Studio.

Producer, Shentee Murozy wa Black Studio akisubiri usajili kwenye Studio za Wanene.

Wasanii wanaotarajia kuchuana leo ili kumpata mshindi mmoja atakerekodiwa video na audio tok Studio ya Black na Wanene ni Allen Vanance wa wa Ilala na Fank Mgogosi wa Kimara jijini Dar.

Mkurugenzi wa Wanene Entertainment, Dash Pandit akisubiri kuanza kwa usaili wa mwisho wa Wikienda Music SEARCH unaofanyika Mikocheni jijini Dar.
Washiriki Mgogosi na Alen wakisubiri kumenyana kwenye kinyanganyiro cha Wikienda Music Search kwenye Studio za Wanene.

  Usikose nakala ya Gazeti lako la Ijumaa Wikienda Jumatatu.

Gabriel Ng`osha/GPL

Comments are closed.