The House of Favourite Newspapers

Kisa Sokabet… Mfumo wa Arsenal Wapelekwa Majimaji

0

WAKATI ikiwa imezoeleka kuona klabu nyingi za soka na michezo mingine katika mataifa yaliyoendelea kukiwa na mfumo wa ununuaji tiketi kwa njia ya jumla, yaani tiketi za msimu, sasa habari ni kuwa mfumo huo upo njiani kutua Tanzania.

Mfumo huo ambao umekuwa ukisaidia kuingiza kipato kwenye klabu nyingi kwa kuwa zinakuwa na uhakika wa manunuzi kadhaa ya tiketi za msimu wote, uko mbioni kuibuliwa na Klabu ya Majimaji.

Majimaji ambayo inashiriki katika Ligi Kuu Tanzania Bara, imepanga kufanya hivyo kwa kutumia wadhamini wao, Kampuni ya Sokabet.

Wakazi wa Ruvuma ndiyo ambao walianza kufichua siri hiyo baada ya kuwepo kwa tetesi hizo, gazeti hili ambalo lilikuwepo mjini Songea mkoani Ruvuma, lilipopata taarifa hizo likawasiliana na viongozi wa klabu hiyo ambao nao walisema hiyo ni moja ya mikakati ya wadhamini wao ambao ndiyo wanaopaswa kuzungumzia zaidi.

Akifafanua juu ya taarifa hizo ambapo mfumo huo unatumiwa na klabu kubwa kama Arsenal, Manchester United na Barcelona, Mratibu wa Sokabet, Franco Ruhinda alisema ni kweli mkakati huo upo lakini ni mapema kuuweka wazi.

“Mkakati huo upo kwenye mchakato wa mwishoni kukamilika, utakapokuwa tayari tutawajulisha, lengo ni kufanya mapinduzi ya kuwafanya wanachama na mashabiki wa Majimaji kuweza kuwa na uhakika wa kununua tiketi za msimu wote kwa mechi za nyumbani, ni jambo gumu lakini inawezekana,” alisema Ruhinda.

Kampuni ya Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubet wana mkataba wa mwaka mmoja wa kuidhamini klabu hiyo na endapo suala hilo litakamilika wataweza historia ya kuwa wa kwanza kulitekeleza hilo.

Alipoulizwa juu ya mbinu zitakazotumika kutimiza hilo, mratibu huyo alisema ni mapema kulizungumzia hilo lakini kwa ufupi ni kuwa mchakato utahusisha wale watakaoweza kujisajili katika tovuti yao ya www.sokabet.co.tz ambapo wataweka utaratibu maalum.

Akikumbushia kuhusu mchakato wa kujisajili na kuanza kubeti, Ruhinda alisema mtumiaji akishafungua tovuti yao anatakiwa kukumbuka kuwa namba ya bahati ni 335757 ambayo ndiyo namba ya Kampuni ya Sokabet.

Kuhusu michakato mingine ya kujiandikisha, kuanza kubet na kupata mkwanja, mratibu huyo alifafanua hivi:

JIANDIKISHE BURE

Baada ya kuingia www. sokabet.co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

INGIA KWENYE AKAUNTI

Ukimaliza kujiandikisha rejea sehemu ya ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umefungua akaunti yako. Ukirejea baadaye kufungua tovuti, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba ya simu tu kisha namba ya siri.

INGIZA FEDHA

Kwa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’.

Baada ya hapo ingiza kiasi unachotaka mfano Sh 1,000 au 5,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.

Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Sokabet’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.

ANZA KUBET KWA SH 200 TU

Ukimaliza kujaza fedha kwenye akaunti yako ya Sokabet, hapo utakuwa tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri kiwango cha chini kabisa kikiwa ni shilingi 200 (mia mbili tu). Ukitatizika kwa chochote wasiliana na huduma kwa wateja kwa namba 0654705555.

KUNA MICHEZO MINGI

Ndani ya Sokabet kuna michezo mingi ambayo inaweza kukuwezesha kubet baadhi ni american football, baseball, kikapu, kriketi, golf, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.

KWA Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Makala: Mwandishi Wetu, Songea

Leave A Reply