The House of Favourite Newspapers

KITAMBI CHA THEA CHAZUA GUMZO

Ndumbagwe Misayo ‘Thea’

MSANII mkongwe wa filamu nchini, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ hivi karibuni alizua gumzo kutokana na kuonekana kunenepeana na kuwa na kitambi kama mwenye ujauzito. Kutokana na kitambi hicho watu mbalimbali walidai kuwa msanii huyo huenda ni mjamzito ndiyo maana tumbo limemtoka hivyo au kama ni kuridhika na maisha basi ameridhika kwelikweli. Alipotafutwa na Za

Motomoto News na kuulizwa kuhusiana na madai kwamba ni mjamzito au laa alikuwa na haya ya kusema;“Jamani sina ujauzito, hili tumbo ni kwamba nimenenepa tu, yaani nimeridhika na maisha ninayoishi lakini kama watu Wananichuria haina shida kwa sababu kuzaa ni jambo jema sana.”

Stori: Gladness Mallya

Comments are closed.