The House of Favourite Newspapers

Kiwanda cha Kahawa Chateketea Kagera

0

KIWANDA cha kukoboa kahawa cha Kharim Amri kilichopo Mgakorongo wilayani Karagwe, kimeungua moto. Taarifa za awali zinadai kuwa mashine na vifaa vingine vilivyoungua vina thamani ya Tsh bilioni 1. Mkuu wa wilaya hiyo, Godfrey Mheruka, amethibitisha..

Leave A Reply