The House of Favourite Newspapers

ads

Klabu ya Simba Yatoa Taarifa kwa Umma Kuhusu Kuchukua Hatua kwa Kocha wa Orlando

0
Mkurugenzi Mtendaji wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez na Kocha wa Orlando Pirates Mandla Ncikazi

KLABU ya Soka ya Simba imetoa taarifa kwa Umma juu ya hatua iliyochukua kutokana na kauli zilizotolewa na Kocha wa Orlando Pirates Mandla Ncikazi.

 

Simba wameelezea sababu za msingi kuwa ni kulinda uhusiano wa muda mrefu uliopo kati ya Tanzania na Afrika Kusini

 

Leave A Reply