The House of Favourite Newspapers

Klopp Amnyamazisha Guardiola

VINARA wa Ligi Kuu tya Uingereza, Manchester City jana walichezea kichapo cha bao 4-3 kutoka kwa vijana wa Jurgen Klopp katika uwanja wa Anfield nymbani kwa Liverpool.

Jurgen Klopp amesimamisha utawala wa Pep Gurdiola, baada ya michezo 30 bila kupoteza mechi hata moja hatimaye hii leo Liverpool wamefanikiwa kuipiga Manchester City bao 4 kwa 3.

Liverpool
Alex Oxlade-Chamberlain 9′
Roberto Firmino 59′
Sadio Mané 61′
Mohamed Salah 68′
Man City
Leroy Sané 40′
Bernardo Silva 84′
İlkay Gündoğan 90

+1′

Ni Arsenal May 2003 hadi October 2004 na Chelsea May 2013 hadi October 2014 (Mechi 40), ndio ambao wamecheza mechi nyingi zaidi bila kupoteza kuliko rekodi hii ya City iliyodumu kuanzia April mwaka jana.

Baada ya matokeo ya leo sasa Liverpool wanakuwa wanaendeleza rekodi yao ya kutofunga na Manchester City katika uwanja wao wa nyumbani na kufikia mechi 15, idadi kubwa zaidi kwa City kutopata ushindi kwa timh moja ugenini.

 

Kabla ya hapo Arsenal walipoteza mchezo dhidi ya FC Bournamouth, mchezo wa leo ilikuwa mechi ya kwanza kwa Bournemouth kuipiga Arsenal katika michezo yao 6 iliyopita na hii ikiwa mara ya kwanza kwa Bournemouth kupata alama mbele ya timu top 6.

Kwa matokeo ya leo msimamo wa ligi umebadilika katika nafasi nne za juu ambapo sasa Liverpool wamepanda hadi nafasi ya tatu ya msimamo huo wakiwa na alama 47 huku wakiwazidi Chelsea kwa tofauti ya mabao.

Liverpool (4-3-3): Karius 6; Gomez 7, Matip 7, Lovren 7, Robertson 8; Oxlade-Chamberlain 8.5, Can 7 (Milner 79), Wijnaldum 8; Salah 8 (Lallana 87), Firmino 8, Mane 8 (Klavan 90)
Subs not used: Mignolet, Ings, Solanke, Alexander-Arnold
Goal: Oxlade-Chamberlain 9, Firmino 59, Mane 62, Salah 67
Booked: Firmino, Milner
Manager: Klopp 8
Manchester City (4-3-3): Ederson 6; Walker 5.5, Stones 6, Otamendi 5, Delph 5 (Danilo 31 (6)); De Bruyne 8, Fernandinho 6, Gundogan 7; Sterling 5 (Bernardo Silva 71), Aguero 4.5, Sane 8
Subs not used: Bravo, Mangala, Silva, Zinchenko, Diaz
Goal: Sane 41, Bernardo Silva 83, Gundogan 90+1
Bookings: Sterling, Otamendi
Manager: Guardiola 6
Referee: Andre Marriner

Ratings by Dominic King at Anfield

Comments are closed.