The House of Favourite Newspapers

Kocha  wa Asrsenal Atua liberia kupokea tuzo

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, alipotua nchini Liberia kupokea tuzo maalumu ya heshima kutoka kwa Rais wa nchi hiyo, George Weah.
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, alipotua nchini Liberia kupokea tuzo maalumu ya heshima kutoka kwa Rais wa nchi hiyo, George Weah.

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, yupo nchini Liberia kupokea tuzo maalumu ya heshima kutoka kwa Rais wa nchi hiyo, George Weah.

Wenger alimsajili Weah kama mchezaji mwaka 1988 wakati akifundisha Monaco.

Comments are closed.