Kolabo Mpya Ya Billnass Na Roma ‘Funga Geti’ Isikilize Hapa
Kolabo ya kufungua mwaka 2019 iliyowakutanisha wakali kwenye game ya Hip Hop Tanzania Roma Mkatoliki pamoja na Billnass katika wimbo wao mpya ‘Funga geti‘
Wimbo umetengenezwa na Mr T Touch. Download chini kabisa baada ya kuisikiliza.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
Comments are closed.