The House of Favourite Newspapers

Kombe la Dunia: Mchongo ni Meridianbet Pekee na Machaguo Spesho 16 Bora

0

Ule utamu halisi wa michuano ya kombe la dunia sasa utaupata hatua ya mtoano ya timu 16 bora, ile miamba iliofuzu kutoka kwenye makundi itakutana hatua hii ambayo ukipigwa mechi moja unaaga michuano. Mchongo ni Meridianbet pekee na machaguo spesho ukibetia chama lako.

 Jumamosi Desemba 03 2022

Uholanzi akiyefuzu kwa jumla ya alama 07, alizozipata dhidi ya Senegal, Ecuador na Qatar, safari hii itambidi kuonesha makali yake na umwamba wake mbele ya Marekani ambaye alimaliza kwenye kundi lake akiwa na alama 5.

Uholanzi na Marekani wamekutana mara tano ikiwa mechi ya leo ni mara ya sita, na kati ya mechi hizo tano Uholanzi ameshinda mechi 4 huku USA wakishinda mechi 1 tu. Hii ni mara ya 6 tena kwenye michuano mikubwa. Machaguo spesho yana ODDS kubwa.

Amefuzu kigumu sana mpaka kufika hatua hii ya 16 bora, ni Messi na Argentina yake watakuwa na shughuli nyingine ya kiume ambayo wavulana hawaiwezi, ni Argentina vs Australia ambao wamepewa odds ya 9.00 kushinda mchezo.

Ukipenda unaweza kubeti njia ya ushindi iweje, kushinda baada ya dakiki 90 kuisha, au ashindi dakika za nyongeza au kushinda kwa mikwaju ya penati lakini pia timu ishinde kwenye dakika 30 za nyongeza. Zote hizi zina Odds kubwa na bomba, bonyeza hapa kuona machaguo haya.

Jumapili 04 Desemba 2022

Ukipenda mpe Ufaransa au Poland ni wewe tu chaguo ni lako, ila ili usihangaike kufanya maamuzi haswa kwenye game hii, tuliza akili yako unapopitia machaguo spesho ya Meridianbet kwenye mechi hii kwani yapo mengi na yote ni rahisi Zaidi kubeti.

Unaweza kuamua ubeti idadi ya magoli, mfungaji wa kwanza kwenye mechi, njia ya ushindi iweje ni kwa matuta au ndani ya dakika 90 au za nyongeza! Nakuibia siri kidogo ukiona mechi hii ni ngumu sana ukahisi itaisha kwa sare yeyote, ina Odds 5.90 unaanzaje kuziacha hizi odds, beti sasa uwe na shangwe baadae. Na kama huna bando au una kitochi usijali piga *149*10# weka beti yako.

Watu wengi wanaisubiri kwa hamu mechi hii ambayo inabeba hisia kubwa, Uingereza dhidi ya Senegal Simba wa Terenga hawa ni wawakilishi wengine wa Afrika wakipewa nafasi ya kufika mbali. Wewe unawaona wapi Senegal kwenye mechi hii ukibeti Meridianbet kwamba Senegal atashinda kupitia mikwaju ya matuta baada ya dakika 120 kuisha ina Odds kubwa ya 13 sawa na England tu nae ana 13.

Kama wewe sio mpenzi wa soka unaweza kucheza michezo bomba ya kasino mtandaoni ya Meridianbet kama vile AVIATOR, TITAN ROULETTE, n.k kubwa Zaidi ukicheza Aviator unapata zawadi ya mizunguko ya bure.

Leave A Reply