The House of Favourite Newspapers

Komediani Kinyambe afariki dunia

0

James Kinyambe

Mohamed Abdallah a.k.a Kinyembe enzi za uhai wake.

Komediani aliyetamba kwa kubadilisha sura na sauti yake katika filamu za uchekeshaji nchini, Mohamed Abdallah a.k.a Kinyembe amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Kinyambe

Mpaka mauti yanamfika, Kinyambe alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Kinyambe mahala pema peponi. Amen!

Baadhi ya kazi alizofanya marehemu Kinyambe enzi za uhai wake;

 



Leave A Reply