The House of Favourite Newspapers

Kourtney Kardashian achekeshwa jina la mtoto wa Kim

0

Kourtney Kardashian Photo by Vince Flores TV Guide MagazineÕs Sexiest Stars Party - Arrivals at Sunset Tower Hotel March 24, 2009 - West Hollywood, California  CelebrityPhoto.com P.O. Box 1560 Beverly Hills, CA 90213-1560 TEL 310 786-7700  FAX 310 777-5455

Kourtney Kardashian.

DADA wa kwanza wa mwanamitindo na mtangazaji wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kourtney Kardashian ameibuka na kudai alichekeshwa na jina la Saint West aliopewa mtoto wa pili wa Kim.

Kwa mujibu wa Jarida la NY Daily, Kourtney alisema kuwa aliposikia mdogo wake amejifungua hakutaka kuingilia ama kutoa msaada wa jina gani litafaa lakini alipokuja kusikia kuwa amepewa jina la Saint West alicheka sana.

“Angalia majina niliowapa watoto wangu (Mason na Penelope), Hakuna hata moja linalochekesha,” Kourtney aliliambia jarida hilo.

(Imeandaliwa na Andrew Carlos/gpl)

 

Leave A Reply