The House of Favourite Newspapers

KUAGWA KWA MAMA ABDUL: Majonzi & Vilio Vyatawala – VIDEO

Mwili wa msanii mkongwe wa filamu, Salome Nonge maarufu kama Mama Abdul, umeagwa leo katika kanisa la Mtakatifu Tomath Mburahati jijini Dar es Salaam.

Baada ya kuagwa mwili huo utapelekwa katika makaburi ya Chang’ombe Maduka Mawili jijini Dar kwa ajili ya Mazishi.

‘Mungu Ailaze Roho ya Mama Abdul Mahala Pema Peponi’

Comments are closed.