The House of Favourite Newspapers

KWA HERI KANTONA, PIGO KWA MUZIKI WA DANSI

ALIYEKUWA Mwanamuziki wa Bendi  ya Mapacha Watatu aliyefariki kwa ajali ya gari Jumamosi iliyopita, amezikwa Jumatano, Januari 31, 2019 na umati wa waombolezaji  kwenye makaburi ya Kinondoni Lang’ata jijini Dar.

Miongoni mwa waombolezaji hao walikuwepo wanamuziki, wasanii wa filamu na kada nyinginezo.

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.