The House of Favourite Newspapers

#GlobalMusic: Kwenye Playlist Yako Weekend Hii, Iweke Na Hii Mpya Ya Bracket “Chop Kiss” Feat. Flavor – (Audio)

Its finally Fridaay, na sio mbaya kama tuki-jaaam kidogo! Kwenye zile kali zinazobamba kwenye playlist yako nataka uiweke na hii mpya kutoka kwa Bracket na Flavor wa Nigeria.

Inapendeza sana kuona wasanii wakali wanaojua wakifanya kazi pamoja kwa zaidi ya miaka mitano bila kuleteana longolongo. Kwenye pita pita yangu asubuhi hii nimekutana na mdundo mpya wa Bracket ‘Chop Kiss’ aliyomshirikisha Flavor maarufu kwa watoto wa kike kama  Mr. lova lovana kama kawaida wawili hao wameitendea haki midundo ilyosukwa na Masterkraft pamoja na Jstunts

‘Chop Kiss’ ni first official single ya Bracket kwa mwaka wa 2017 na kwa flow za midundo hii tutegemee big things kutoka kwake mwaka huu.

Bonyeza Play hapa chini kuisikiliza ngoma mpya ya Bracket, ukiipenda usisite kuidownload ili ikae karibu yako wekeend nzima.

Enjoy.

Bracket Feat. Flavor: Chop Kiss (Official Audio Song)

 

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasia, michezo, comedy, burudani, muziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

 

Comments are closed.