The House of Favourite Newspapers

Kyerwa: JPM Awasimamisha Kazi RPC, OCD, Mkuu wa Upelelezi, OCS – Video

Mhe Rais John Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi kwa RPC mkoa wa Kagera pamoja na OCD wilaya ya Kyerwa, Mkuu wa upelelezi wa wilaya ya Kyerwa na Mkuu wa Kituo cha Kyerwa mkoani Kagera, kupisha uchunguzi kutokana na tuhuma za kuhusika katika magendo ya zao la kahawa wilayani Kyerwa

BREAKING MAGUFULI Awasimamisha Makamanda Wa 4

Comments are closed.