The House of Favourite Newspapers

LeBron Asaini Bn. 350/= Kujiunga na Los Angeles Lakers

Image result for LeBron James Los Angeles Lakers

MFALME wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James,  amesaini kujiunga na timu ya  Los Angeles Lakers kwa kitita cha Dola 154 ambazo ni sasa na Sh. bn. 350 za Tanzania.

Taarifa ya shirika la Klutch Sports linalomwakilisha  Bron, ilisema nyota huyo amesaini mkataba wa miaka minne na timu hiyo ya mchezaji wa zamani wa mchezo huo, Magic Johnson.

Inasemekana mchezaji huyo ambaye anategemewa kutangaza kujiunga na timu hiyo kesho (Jumanne), huenda akaungana na mchezaji mwingine mpya wa timu hiyo, Kawhi Leonard,  kutoka timu ya San Antonio Spurs.

 

Comments are closed.