The House of Favourite Newspapers

LEMA: Hali Mbaya, Watu Wanateswa, Nchi Itaendeshwaje? – VIDEO

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema, leo bungeni amesema serikali inatakiwa kuhakikisha wafanyabiashara wote nchini wanakuwa na amani na wanafanya biashara zao bila bugudha yoyote ili kuweza kuongeza mapato ya nchi.

Comments are closed.