The House of Favourite Newspapers

Leo ndiyo leo wakongwe Bongo Fleva Dar Live!

0

DullyDully Sykes

Stori: Mwandishi Wetu, RISASI JUMAMOSI

HATIMAYE ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa burudani imefika ambapo leo (Jumamosi) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar, kutakuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa wakongwe wa Muziki wa Bongo Fleva wakiongozwa na Afande Sele, Dully Sykes, Jafarai, Nature na wengine kibao.

AFANDE SELE1Akichonga na Risasi Jumamosi, Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alisema kuwa mbali na wakongwe hao, makundi mbalimbali ya Bongo Fleva yaliyowahi kutikisa miaka ya nyuma kama Joint Mob, Zig Zag, Solid Ground Family, Mabaga Fresh, Manzese Crew na mengine kibao.

nature akiweka mambo sawaJuma Nature

“Utakuwa ni usiku wa kukumbukwa kunako muziki wa Bongo Fleva, wote tunajua bila hawa muziki huu usingefikia hapa, niwasihi mashabiki waje kwa wingi kwa kiingilio kidogo cha shilingi 7,000 tu utapata kuona burudani zote live,” alisema Mbizo.

JafaraiJafarai

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: Global TV Online

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE:@shigongotz

Leave A Reply