The House of Favourite Newspapers

Leo Siku Ya Mateka Wa Kipalestina, Mateka 6500 Wapo Gerezani

April 17  kila mwaka inakwenda sambamba na Siku ya Mateka wa Kipalestina, ambapozaidi  ya mateka elfu sita (6,000) wa kipalestina wapo katika magereza ya kivamizi yaIsraeli.

Taasisi inayoshughulikia mambo ya mateka ya kipalestina,imetilia mkazo ya kw am bah istoria ya harakati za mateka wa kipalestina,zimeanza mwanzoni mwa uvamizi waIsraeli katika ardhi ya Palesttina mnamo mwaka 1948 na kwamba utawala huo wakivamizi wa Israeli umeifanya hatua ya kuwakamata watu ndio sera,njia na chombo cha
kuwakandamiza na  kuwadhibiti wananchi wa Palestina, pia kueneza woga na hofu kwawa palestina hao.


Hali iliyopelekea ukamataji huo, kuwa sehemu ya msingi na thabiti ya sera yake ka ti  kakushughulika na Wapalestina na limekuwa ni jambo linalokera kila siku,pia kuwa ndionjia ya adhabu ya pamoja,kwani haipiti siku isipokuwa kunaripotiwa kesi za kukamatwakwa wapalestina, huku ikikadiriwa idadi ya kesi za ukamataji katika miaka yote yauvamizi kufikia zaidi ya kesi milioni moja.

Tayari idadi ya mateka na waliokamatwa waliopo katika magereza ya kivamizi ya Is  r aeliimefikia (6,500), miongoni mwao wapo watoto (350), mateka wanawake (62) wakiwemokina mama (21), (8 ) wasiofikia umri wa kubaleghe , wabunge (6), (500)waliokamatwabila ya tuhuma, wagonjwa (1800) wakiwemo (700) wanaohitaji uangalizi wa haraka wakimatibabu, waandishi wa habari (19.


Aidha mateka wengine (48) wamekamatwa tokea zaidi ya miaka ishirini na ku ende le a,wengine (25) wamekamatwa tokea robo karne iliyopita, wengine (12) wamekamatwatokea zaidi ya miaka thelathini iliyopita, huku wengine (29) wakiwa miongoni mwamateka wa zamani zaidi waliokamatwa tokea kabla ya Mkataba wa Oslo, ambao
walipaswa kuachwa huru katika awamu ya nne mwezi Machi 2014, isipokuwa utawal awa Israeli ulikataa makubaliano hayo na kuwaweka mateka katika magereza yake.

Aidha,wameuawa zaidi ya 214 katika wanataasisi ya mateka tangu mwaka  1967 hadi Apr il 8: (72) wameuawa kwa kuadhibiwa wakiwa mikononi mwa wachunguzi katika vituovya uchunguzi huo, (60) wameuawa kwa sababu ya kutopewa matibabu, (7)wameuawa kwa kukandamizwa na kupigwa risasi na wanajeshi walinzi, (75)wameuawa ikiwa ni matokeo ya mauaji ya makusudi,mpango wa kivamizi kusafisha ili wasiwepo wapalestina na mauaji ya moja kwa moja baada ya kuwakamata.

Matukio namashuhuda wanaonesha kuwa,idadi kubwa ya waliopita kizuizini au kukamatwa,wamekumbana na aina mojawapo ya mateso ya kimwili,kinafsi,unyanyasajiwa kisaikoloji,mateso mbele ya halaiki au familia.

Katika kuilenga taasisi ya mateka na kuibana,bunge la Israeli (Knesset) likapitisha
sheria nyingi za kibaguzi, zikiwemo sheria ya kuwaadhibu mateka wanaogoma kula ya

mwaka 2015, ambayo inaruhusu kulishwa kwa sindano kama “drip”, sheria kali yaana   et upa jiwe,ikiilazimisha mahakama kumuhukumu kwenda jela kati ya miaka miwilihadi minne, huku likithibitisha usomaji wa kwanza wa muswada wa sheria unaoruhusukulazimisha adhabu ya kifungo kwa watoto wa kipalestina chini ya umri wa (miaka 14), mbali ya miswada mingine ya sheria za hatari, kama vile rasimu ya sheria ya kuwa uamateka, kuwanyima elimu na mawasiliano, rasimu ya sheria ya ugaidi,adhabu kali kwa wahariri wa mpango wa Shalit na matumizi ya sheria ya jinai kwa wafungwa wanausalama.

Baraza la Taifa la Palestina kwa kuzingatia ndio mamlaka kuu ya Jumuiya ya Ukombozi wa Palestina, mwaka 1974 wakati wa kikao cha kawaida kinachofanyika Aprili 17 ya kila mwaka, limepitisha kuwa siku hii ni siku ya kitaifa ya
kuwaheshimu mateka na kujitoa kwao muhanga, kuwasaidia na kuunga mkono haki yao ya kuwa huru, pia kusimama karibu nao na wapendwa wao,vile vile ni siku ya kuwaenzi mashahidi wa taasisi za kitaifa zinazoshughulikia mateka.

Comments are closed.