The House of Favourite Newspapers

Leseni ya Gazeti la Raia Mwema Yasitishwa

0

GAZETI la Rai Mwema limesitishiwa leseni ya uchapishaji na usambazaji kwa muda wa siku 30   kuanzia kesho Septemba 6, 2021

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Idara ya huduma  za Habari Gerson Msigwa, uamuzi unatokana mwenendo na mtindo wa uandishiwa Habari na Makala ambao kwa kiasi kikubwa unakiuka misingi ya maadili ya taaluma ya Habari kwa kufanya upotoshaji wa mara kwa mara  na uchochezi.

 

Leave A Reply