The House of Favourite Newspapers

Ligi 4 Leo Kukupa Pesa Ukibeti na Meridianbet

0

 

Ijumaa ndio hii ndugu mteja na nafasi za kuwa Milionea ukisuka jamvi lako hapa na meridianbet kwani kumbuka kuwa huku unapata pia na Turbo Cash mapema tuu. 

Tukianza na SERIE A leo hii Inter Milano chini ya kocha mkuu Simon Inzaghi watakuwa pale Giusseppe Meazza kusaka pointi tatu za kujikita kileleni dhidi ya Salernitana ambaye ndiye kibonde wa ligi hiyo. Inzaghi na vijana wake wamepewa ODDS 1.16 kwa 4.90. Je Inter kuendeleza moto wake?. Suka mkeka wako na ubeti hapa.

Huku kwa upande wa Torino baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita atakuwa nyumbani pale kuzichapa dhidi za Lecce ambaye alipokea dozi nzito mchezo wake uliopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 9, huku mgeni akihitaji kulipa kisasi baada ya kupigwa mechi ya kwanza walipokutana. Mechi hii imepewa ODDS 1.76 kwa 4.90. Jisajili na ucheze.

Lakini pia ligi za Hispania LALIGA utapigwa mchezo mmoja kati ya wenyeji Villarreal dhidi ya Getafe. Nyambizi wa njano walitoa sare mchezo wao uliopita, huku mgeni wake akipata ushindi mechi iliyopita. Mara ya mwisho kukutana timu hizi walitoshana nguvu, lakini meridianbet leo hii wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.11 kwa 3.43. Je nani kuondoka na pointi 3?. Tengeneza jamvi sasa.

Vile vile Meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Halikadhalika mechi nyingine za pesa ni hii hapa ambayo inawakutanisha FC Cologne dhidi za Werder Bremen katika ligi ya Ujerumani kule BUNDESLIGA. Timu hizi zimepishana pointi 10 pekee huku ushindi akipewa mwenyeji ndani za meridianbet kwa ODDS 2.50 huku mgeni akipewa ODDS 2.79. Ingia meridianbet na ubeti sasa.

LIGUE 1 pia kutakuwa na mchezo mmoja wa Lyon dhidi ya Nice ambaye yupo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi baada ya kuwa na mwendelezo mzuri huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 13. Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.69 kwa 2.74. Mechi ya mwisho kuonana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka kidedea?. Bashiri sasa.

Leave A Reply