The House of Favourite Newspapers

Ligi Ya Mabingwa Ulaya Leo Siku Ya Hukumu Kitawaka

0

Leo ni siku ya hukumu kwenye ligi ya mabingwa ulaya kwani ndio siku ya mwisho ya michezo ya hatua ya makundi ya michuano hiyo msimu huu, Hivo hatma ya baadhi ya timu kuendelea kwenye michuano hiyo itaamuliwa leo.

Michezo mbalimbali itapigwa katika madimba mbalimbali leo katika siku ya kuhitimisha michezo ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani ulaya, Lakini Meridianbet hawajataka ukae kinyonge pia kwani wameweka ODDS KUBWA na za kibabe ambapo unaweza kupiga mkwanja wa kutosha.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Michezo ambayo itapigwa leo ya maamuzi kati ya klabu PSG dhidi ya Borussia Dortmund ambapo Dortmund watakua nyumbani na PSG watahitajika kushinda mchezo huo ili kufuzu hatua ya 16 bora, Lakini pia Newcastle United watakua nyumbani kumenyana na Ac Milan ambapo klabu yeyote itakayoshinda mchezo huo na PSG kupoteza basi itafuzu hatua ya 16 bora.

Mchezo mwingine ambao utapigwa ili kuamua hatma ya timu kufuzu hatua ya 16 bora utakua kati ya Fc Porto dhidi ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine ambapo kila klabu itahitaji kushinda mchezo huo ili kufuzu hatua inayofuata kuungana na klabu ya Barcelona kwenye kundi hilo.

Michezo hiyo ndio itakua michezo ya mwisho ya hatua ya makundi kwenye ligi ya mabingwa ulaya msimu huu na michezo kadhaa itakua inaamua hatma ya timu kadhaa kwenda hatua inayofuata ya 16 bora, Hivo itakua michezo yenye kuvutia ambayo imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Leave A Reply